NJIA SAHIHI YA KUMPATA MCHUMBA BORA WA MAISHA!

NJIA SAHIHI YA KUMPATA MCHUMBA ALIYE SAHIHI WA MAISHA!





Changamoto ni kwamba katika kumpata mchumba wa maisha huwa tunayapa matamanio yetu kipaumbele cha kwanza.
Baadae tunaanza kuteseka na kuhangaika katika mahusiano hayo, ambayo tunakuwa tumeyajenga juu ya vionjo vyetu vya hisia!




Njia rahisi na sahihi ya kufurahia maisha ya mahusiano katika ndoa ni kumtanguliza Mungu katika kumpata mchumba wako!



Tunapaswa kuhakikisha kila siku hatuchoki katika kumuomba Mungu na kumtumikia bila mawaa.


Kwenye sala zetu za kila siku, kabla na baada ya usingizi mnono, tunapaswa tuombe dua kwa Mwenyezi Mungu atuchagulie mchumba mwema wa maisha!
Bila ya kutaja jina, bila ya kuvuta taswira ya picha, bila ya kuvuta muonekano wa mtu na bila ya kuongozwa kwa vionjo vya hisia za kibinadamu tumtolee Mungu maombi ya kumpata mchumba mwema na bora wa maisha!  AMEN!

Comments

  1. Baada ya kuona chapisho kwenye mtandao la Jenna kutoka USA akisema jinsi alivyosaidiwa na Dk. DAWN, niliamua pia kuwasiliana naye kwa msaada kwa sababu sikuwa na chaguo nilichotaka ni kumrudisha mpenzi wangu na furaha. Kwa mshangao mkubwa mpenzi wangu alifika nyumbani akiwa amepiga magoti kwamba nitafute nafasi moyoni mwangu kumsamehe, hakika nilistaajabu na kushtuka mpenzi wangu alipopiga magoti akiomba msamaha na mimi nimkubalie tena. Kweli nimepungukiwa na maneno, na sijui ni kiasi gani cha kukushukuru wewe Dr. DAWN. Wewe ni Mungu aliyetumwa kurejesha uhusiano uliovunjika, Na sasa mimi ni mwanamke mwenye furaha. mawasiliano yake ni Whatsapp +2349046229159

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UTAMU NA FURAHA YA MAPENZI!